Nyingine/zingine ni settings za simuKuna rafiki yangu nikimpigiaga simu naambiwa namba imefungiwa afu anapokea anatumia mtandao wa tigo
Mitansao ya simu siku hz wamekuwa wezi sana; wanashirikiana na serikali ya CCM kuwaibia raia wasiokuwa na hatiaHabari zenu wana jamvi.
Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe.
Je kuna tatizo gani kwenye hizi kampuni zinazota huduma za mawasiliano ya simu?
Je kuna watu wengine wanakumbana na huu usumbufu?