Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

Sawa. Tumekuelewa. Dira ya 2075 tutazingatia maoni yako.
 
Tazamatizama HUKU na huko nikamuona Steve Nyerere akiwa KWENYE suti na jopo lake nikasimama nacheka HUKU naondoka. Sishangai kilicho zungumziwa maana waliokuwepo TU ni kichekesho. Afu ETI ana note book SIJUI hata anaandika nini
 
Chaneli ya vituko huko mbinguni na kuzimu
 
Huyu gabacholi anawapangiaje watu weusi maisha,sijawahi kutakana na ngozi nyeupe inayothamini ngozi nyeusi kutokea moyoni lazima kuna element za kibaguzi.
 
Hapa kwenye kilimo kuna utata mkuu --- kuna mazao nchi inaexport na inapiga pesa nyingi ila wakulima waliyoyalima hakuna manufaa waliyoyapa

Wengi wana breakeven, faida ndogo, au hasara
 
1t USD kwa miaka 25!
1/25=(0.4t)=400b USD kwa Mwaka! Sijui.
Harafu Wanufaika=Chama Cha Mafisadi?
 
Hapa kwenye kilimo kuna utata mkuu --- kuna mazao nchi inaexport na inapiga pesa nyingi ila wakulima waliyoyalima hakuna manufaa waliyoyapa

Wengi wana breakeven, faida ndogo, au hasara
Kwa zao gani? According to Serikali mwaka jana Mkulima amepata Atleast 70% ya bei ya Soko la Dunia. Na Watu wengi wanalalalmika Humu jf kwamba Unga, Mchele, na mazao mengine yamepanda bei (ina maana Mkulima anafaidika sokoni).

Cha muhimu ni hicho mkulima asilaliwe vs soko la Dunia, ila soko la Dunia kama bei imeshuka ngumu kwa serikali kujinasua unless wayanunue wao kwa bei ya hasara.

Ufuta ndio nimeona umeshuka Bei ila Korosho wamepiga sana hadi 4000 na upuuzi same kwa kahawa, pamba ilikua flat, etc
 
1t USD kwa miaka 25!
1/25=(0.4t)=400b USD kwa Mwaka! Sijui.
Harafu Wanufaika=Chama Cha Mafisadi?
1/25 ni 0.04 na na sio 0.4, pia Ongezeko la Uchumi linapimwa kwa Compound formula, na sio flat hivyo.
 
Poa
 
Mie naomba mliosoma mniambie ni wapi wameweka kipau mbele utokomezaji wa rushwa.
Kwani rushwa imeinuka sana sana awamu hiihadi inaonekana kama ina baraka toka juu.
Tenda zote sasa hadi za ujenzi wa barabara ni lazima 10% itoke hadi kupata fedha lazima kuhonga tena.
 
Trickle down not trifle down
 
Tupunguze madalali kwenye kununua mazao kwa wakulima na elimu itolewe such as "financial literacy" ili waweze kuboresha maisha yao.
 
Reactions: Lax
Tupunguze madalali kwenye kununua mazao kwa wakulima na elimu itolewe such as "financial literacy" ili waweze kuboresha maisha yao.
Mazao makubwa yanauzwa kwenye Amcos so hakuna udalali unless mkulima mwenyewe a opt kuyauza kwa njia za magendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…