baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Mchelle pia unauzwa Amcos it's just haufuatiliwi sana sababu una matumizi makubwa nchini na wengi wanalima kama Subsistence farming na Smallholder farmers.Mchele unauzwa amcos gani?
Ni kweli wanaibiana ila haya mazao makubwa wengi wanatoboa, ni rahisi mkulima kupata Attention kwenye kitu ambacho Serikali pia wanafaidika.Baadhi ya amcos viongozi wake sio waaminifu. Isitoshe amcos hazipo mikoa yote
Mnasoma makaratasi na kusikiliza hotuba za wanasiasa ambazo hazina uhalisiaMazao makubwa yanauzwa kwenye Amcos so hakuna udalali unless mkulima mwenyewe a opt kuyauza kwa njia za magendo.
Mazao ya chakula hubanwi kuuza kwenye amcos/chama. Ni uamuzi wako, wengi hawauzii kupitia amcos/chamaMchelle pia unauzwa Amcos it's just haufuatiliwi sana sababu una matumizi makubwa nchini na wengi wanalima kama Subsistence farming na Smallholder farmers.
Mfano hai ni Sakama Amcos ya Geita ni Amcoss ya mchele wanafanya packaging wenyewe.
Sikuwa nafahamu mkuu, shukranMchelle pia unauzwa Amcos it's just haufuatiliwi sana sababu una matumizi makubwa nchini na wengi wanalima kama Subsistence farming na Smallholder farmers.
Mfano hai ni Sakama Amcos ya Geita ni Amcoss ya mchele wanafanya packaging wenyewe.
Mi nipo ukanda wa pwani huku wakulima wanayalaani sana mazao haya ya stakabadhi -- hii nadhani sababu kubwa ni mavuno hafifuNi kweli wanaibiana ila haya mazao makubwa wengi wanatoboa, ni rahisi mkulima kupata Attention kwenye kitu ambacho Serikali pia wanafaidika.
Hayo mazao makubwa ambayo wakulima wanatoboa ni yapi? Mm nimelima karibu yote, kote pangu pakavu. Umaskini mtupuNi kweli wanaibiana ila haya mazao makubwa wengi wanatoboa, ni rahisi mkulima kupata Attention kwenye kitu ambacho Serikali pia wanafaidika.
Jamanani mwenye soft copy ya pdf ya hii dira atuwekee humu tuone kama maoni ya wengine kweli yalizingatiwa au ni ya ccm pekee?
Anakuongopea, Hakuna mazao yoyote makubwa ambayo wakulima wanatoboa. Kote ni umaskini mkubwa. Mimi nimelima na bado nalima mazao yote makubwa kwa zaidi ya miaka 10Mi nipo ukanda wa pwani huku wakulima wanayalaani sana mazao haya ya stakabadhi -- hii nadhani sababu kubwa ni mavuno hafifu
Hoja hiyo nimempa akaleta takwimu ikabidi nitulie tu, mkulima kutoboa inabidi awe na mazao ya kimkakati na mipango haswaAnakuongopea, Hakuna mazao yoyote makubwa ambayo wakulima wanatoboa. Kote ni umaskini mkubwa. Mimi nimelima na bado nalima mazao yote makubwa kwa zaidi ya miaka 10
Kote pangu pakavu tu. Wakulima ni maskini
Hajui kitu, aje hapa tujadiliane mimi na yeye.Hoja hiyo nimempa akaleta takwimu ikabidi nitulie tu, mkulima kutoboa inabidi awe na mazao ya kimkakati na mipango haswa
Waziri wa fedha, Waziri wa Mipango, ni kutoka Mkoa mmoja masikini sana usio na dira. Wangesaidia kutoa dira ktk Mkoa wao ikatiki,wengi tungeamini hii dira iliyoletwa. Kuna mjanja mmoja kaniambia hiyo dira ni " cut & paste" ya nchi moja hivi huko Asia.1. Malengo yasiyo na uhalisia
Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25 ijayo uchumi wa Tanzania kukua mara 12 zaidi ya sasa unahitaji miujiza au akili kama za Wazungu na Tiger economies. Uchumi wa $Trilioni 1 unazungumzia uchumi kama wa Saudi Arabia na Netherlands.
2. Kutoweka kipaumbele katika kupunguza masikini
Inaonekana walioitengeneza hii dira ni wale watu walioganda na wanaoamini zaidi katika "trickle down economics" , mkakati wa uchumi unaoamini zaidi kwamba ukuaji mkubwa wa uchumi siku zote utajitafsiri katika maisha mazuri kwa raia wengi. Huu ni mkakati ambao kwa sasa unaonekana kufeli vibaya sana katika nchi kadhaa zenye uchumi mkubwa . Ukuaji mkubwa wa uchumi hauna maana sana kama sio jumuishi na wenye kuleta nafuu ya maisha kwa raia wengi. Nchi nyingi duniani zenye uchumi mkubwa hadi za ulimwengu wa kwanza kwa sasa nyingi raia wanapoteza imani juu ya serikali zao kwa sababu uchumi unamilikiwa na watu wachache sana huku mamilioni wakiishi maisha ya kuteseka.
3. Utengenezaji wa Dira kuongozwa na mwalimu wa saikolojia na elimu.
Dira ya Taifa ilitakiwa iongozwe na mwanauchumi nguli, hili halitakiwi kuwa suala la mjadala au kubishaniwa.