Matatizo mengi ya nguvu za kiume ni athari za kisaikolojia

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Ulimwengu wa sasa umejawa utandawazi mwingi.. Wadada wanatembea nusu uchi.. Picha na video kibao za ngono.. Hizi huathiri wanaume wengi maana wanakuwa wamekwisha yazoea maumbile ya mwanamke machoni.. Hata anapokua na mwanamke chumbani, anakosa mzuka kwa kuyaona maumbile ya mwanamke ya kawaida.

Hapo mwanamume anaposhindwa kusimamisha na kulifanya tendo vilivyo, atahisi hana nguvu za kiume kumbe akili imesha athirika.

Masuala ya kujigamba ktk makundi (haswa vijana) kuwa, kupiga hadi bao fulani ndo unakua mwanamume wa shoka, basi huathiri wale wasio na mapafu ya kupiga show muda mrefu na kuhisi hawana nguvu za kiume..

Na mambo mengine mengi..

Suala la kufanya tendo la ndoa kwa kiwango kikubwa linahitaji akili yako kuwa positive kuhusu tendo husika.. Ukiwa tu negative, ndipo utajihisi u mgonjwa wa nguvu za kiume kumbe mzima kabisa... Achana na viagra, sijui, konyagi, sijui supu ya pweza... Wewe dili na Akili yako...

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…