Matatizo mengi yanayoendelea nchini ni matokeo ya Uchawa na kujipendekeza kulikopitiliza. Uchawa kwa sasa ni adui mkubwa kwa Taifa

Matatizo mengi yanayoendelea nchini ni matokeo ya Uchawa na kujipendekeza kulikopitiliza. Uchawa kwa sasa ni adui mkubwa kwa Taifa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele.

Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani.

Haijarishi anaumiza, kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake.

Chawa sio mtu wa kushangiliwa au kumgurahia.
 
Uchawa umeondoa utu , kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele .

Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini , CCMuni , CHADEMAni au mitaani.

Haijarishi anaumiza , kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake .

Chawa sio mtu wa kushangiliwa au kumgurahia .
CCM ni mkoloni wa kufukuza nchi hii.
 
Back
Top Bottom