Uchawa umeondoa utu , kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele .
Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini , CCMuni , CHADEMAni au mitaani.
Haijarishi anaumiza , kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake .
Chawa sio mtu wa kushangiliwa au kumgurahia .