Matatizo ya Chafia kila wakati

Matatizo ya Chafia kila wakati

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Wakuu naomba kuuliza ni nini kinasaidia kupiga chafia Mara kwa Mara na hii inapelekea kuwasha kwa macho ,yaani hii inaenda pamoja unapiga chafia sana na macho kuwasha ,vilevile pua huwa zinaziba ,nimeenda hospital wanasema ni alegi ndio inasababulisha hili tatizo ,lakin mpaka sasa bado sijalipatia ufumbuzi ,naomba kwa yeyotewenye utaalamu na hili.
 
Back
Top Bottom