matatizo ya hedhi

kilikou

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
10
Reaction score
0
mke wangu anablidi yapata wiki ya pili sasa je nini kinachosababisha na nini tiba sahihi naomba msaada wenu wadau
 
Jaribu kukaa nae chini na kuzungumza nae, kama alishawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango kama kipandikizi, vidonge au sindano. Hii ni side effect yake kuingia siku za hedhi nyingi na ni zaidi ya wiki mbili.
Hila hili tatizo linatokea kwa watu wachache, kati ya watu 100 wanaotumia njia hizi watu wa3 huwatokea hii.
 
kwa kweri hajawahi kutumia hakuna sababu nyingine apart from those above reasons na nitamsaidia vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…