Matatizo ya kitovu

KAPIME U.T.I IMESHAKUWA SUGU KATIKA MWILI WAKO ITABIDI UCHOMWE SINDANO 5 KUPONA KABISAA
 
kapime choo utakuta una minyoo....umetumia Dawa za minyoo Mara ya mwisho lini ?Mi ilishawahi kunikuta hiyo hali kupima minyoo kibao
 
Fanya control urinalysisi/mkojo.

Halafu ucheki na choo kwa amoeba/minyoo

Kwa U.T.I jitahd unywe maji mengi 6-8 glasses per day

Wipe from front to back/kutawaza anzia mbele kwenda nyuma

Usafi wa vyoo epukana na vyoo vya public ambavyo sio safi

Epuka kutumia sabuni zenye chemical kujisafisha maeneo nyeti.

Ukifua mavazi ya ndani anika nje.
 
asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…