Huwa unashtua nyeto kijanaNaishi na wazazi
Pole sana dogo! Ngoja wataalam waje! Pamoja na huu uandishi wako watakuelewa.Hapana, na ni mda xana xaxa
Inamaana humuoni dogo hapo kwa avatar? Amekaa kiuchungu sana. Doctors wa jf Saidieni huyu kijana.We wakike au kiume?
Bado second selectionKwan matokeo ya darasa la 7 tayar au bado? ?
Jamani na sisi tuwe kama watu wazima basi yaani GT . Uandishi wa huu mtoto unahusiana vp na tatitzo lake.Kwan matokeo ya darasa la 7 tayar au bado? ?