Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

Ajiuzulu kumuogopa nani?? Hao vijana hawamuogopi aliyewapa kazi
 
Labda kuna siku tutapata viongozi wenye akili wataruhusu ila kwa sasa haya mazee yanachowaza ni kupora uchaguzi tu na kuwafanya watanzania kua wajinga na machawa ili yaendelee kutawala
 
Hii akili kubwa uliyoandika hapa mleta mada, Nappe hawezi kuielewa.
 
bado serikali ya Tanzania inaweka kauzibe kwa STARLINK anayekuletea INTERNET yenye kasi kubwa kuliko iliyopo sasa kwa bei nafuu.

Sehemu kubwa ya andiko lako ni sahihi isipokuwa hapa kwenye unafuu wa internet ya Starlink sio sahihi...

Binafsi Starlink wakianza operations Bongo nitanunua kit yao, na nilishanya pre-order...
 
Tanzania tunadh
Duh

Kama Musk amekataliwa basi ni Uamuzi wa Baraza la Mawaziri na siyo Nape peke yake 🐼
A
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…