Matatizo ya kuwashwa mguu bila suluhisho

Matatizo ya kuwashwa mguu bila suluhisho

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Naomba msaada wenu wa ushauri au sememu nzuri ya kupata matibabu. Mimi nina tatizo la kuwashwa mguu wa kushoto mara kwa mara. Sehemu inayowasha ni chini ya goti ila juu ya kifudo cha mguu. Hamna kovu, upele wala nini, panawasha sana kuzunguka mguu, ila nikijikuna baada ya mda kwa ndani panabadilika rangi na kuleta uweusi kwa mbali. Nimejaribu kwenda pale Mikochi Hospital kumwona mtaalamu wa ngozi akanipima mzio ila sikua nao, akanipa dawa ya kupaka siku 14 haikuleta mafanikio. Siku zinavyozidi kwenda kuwasha kunazidi kwa hiyo nitashukuru sana kwa mwongozo wenu ili nitatue hili tatizo kabla halijawa kubwa zaidi
 
Mku ninakupa ushauri nenda kapime Damu kuona kama una (Allergy) isije wezekana ndio dalili ya huo ugonjwa wa Allergy ndio unaokuanza. Najaribu pia kwenda kuoga maji ya chumvi maji ya bahari kwa wiki mara 3. Na kuna dawa moja inaitwa ya kupiga chuku kama utampata Mtaalam wa dawa hiyo ya kupiga chuku mwambie akupige hiyo chuku itasaidia kuondowa huo muwasho wako pole sana Mkuu.@ Mkomboz Chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...l-treatment-to-promote-blood-circulation.html
 
Disease treated by Cupping Therapy


• Common cold and cough

• Headaches including migraine

• Breathing difficulties (asthma)

• Diarrhea and constipation

• Tonsillitis and sore throat

• Stomach ache and heart burn

• Hand, leg, neck and back pain

• Neuralgia (nerve pain)

• Athletes foot

• Skin problems including pimples, oily skin, itch, dermatitis, liver spots

• Chills at fingers and toes

• Eye problems – myopia, early cataract, conjunctivitis

• Alopecia (losing hair)

• Allergy

• Menstrual pain (endometriosis)

• Leucorrhoea (whitish/yellowish discharge due to infection)

• Infertility

• Urinary incontinence

• Hypertension (high blood pressure)

• Hypotension (low blood pressure)

• Angina pectoris (heart pain)

• Periodontal (gum) disease

• Hemorrhoid (piles)

• Osteoarthritis and gout

• Diabetes

• Kidney malfunction (pre-dialysis)

• Liver problem (hepatitis and fatty liver)

• Losing memory and dementia (Alzheimer)

• Stroke

Headaches

<font color="#000000"><span style="font-family: arial; ">

Kuna Faida nyingi za kupiga Hijama chuku kuondowa Damu chafu mwilini Hijama inatibu maradhi mengi ndani ya mwili wa binadamu, kama kuondosha maumivu ya mwili ,Mgongo,kiuno, Hijama inatibu kuondosha kuwashwa washwa mwilini, maumivu ya Miguu,mabega, kiuno maradhi ya mgongo maradhi ya kichwa na Mwili wote kwa ujumla kwa ufupi Hijama ina faida nyingi sana kwa mwili wa Binadamu.


Haya tena Wabongo tuweni Damu chafu Mwilini kwa kupiga hii hijama inasaidia kutibu maradhi mengi Mwilini mwa Binadamu inasaidia sana kiafya na nguvu za kiume pia inasaidia na mwili kuwa na nguvu na maisha kuwa mazuri tumieni hii dawa Ndugu zangu mutaona faida yake



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom