247
Senior Member
- Mar 29, 2016
- 188
- 197
Habari zenu wana JF
Wiki iliyopita rafiki yangu wa karibu alinifata kuniomba ushauri, alikua anaumwa alivyonitajia Dalili na v2 anavyohisi nikatambua kuwa inaweza kua ni UTI nkamuelekeza dawa ya kumeza lakini bdo alikua na wasiwasi kwahyo akaona bora akapime ili apate uhakika juu ya ugonjwa wake.
Alipokwenda hospitali alipimwa kisha wakamwambia kua anaumwa UGONJWA WA ZINAA [STD] aliporudi akawa ameandikiwa dawa nyingi pamoja na sindano kwakua nlikua mbali na yy ikabidi antumie picha whatsapp ili nione ila skuchunguza sana kuwa ni dawa gani, na ningejua nngeweza kujua ni ugonjwa gani labda amekutwa nao maana nina taaluma ya kujua dawa kwa kiasi flani.
Sikutaka kumpeleleza sana nikamuacha aendelee na dawa ili apone, chakushangaza amemalza dawa amerud tena hospitali Leo wanamwambia kuwa "ilikua ni 20/25 na sasa hivi ni 15/20" nimeshindwa kuelewa kua ni kipimo cha ugonjwa gani ndo kinapimwa kwa scale hyo, nimejiulza sana na nimejaribu hata ku google ila sijapata jibu.
Sasa naomba msaada kwa wana JF mnisaidie kua
1:Mgonjwa anapoenda kupima halafu anaambiwa kua ni ugonjwa wa zinaa bila kuambiwa jina la huo ugonjwa ni sawa?? Kwasababu nimesha kutana na watu zaidi ya wawili wanasema majibuwanayopewa ndo hayo
2: Kama kuna mtu anayejua kuwa ni ugonjwa gani unaopimwa kwa scale hyo??
NILIHISI LABDA NI WANATAKA WAFANYE BUSNESS YA DAWA LAKINI NI HOSPITALI YA WILAYA NA DAWA ANAENDA KUNUNUA KWNY PHARMACY TOFAUTI NA HOSPITALI