Matatizo ya Meno

Matatizo ya Meno

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habari zenu wandugu,
Jino langu la mwisho la chini limekua likiuma pale ninapokula ama kunywa vitu vya moto ama baridi,
Nahisi ni ishara mbaya huenda likauma zaidi. Naomba mwenye kujua anijuze kitu gani ama dawa gani nitumie ili lisije kuuma zaidi.
 
Back
Top Bottom