Ndugu wana jf, habarini za kutwa nzima! kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa majukumu ya uelimishaji humu jamvini. ama baada ya salam naomba msaada wako wewe mdau wa jamvi hili namna n'takavyoweza kutatua hili tatizo;
Tatizo kuu nililonalo in "MENO", yanatoboka pia yanauma hivyo naomba mnisaidie nifanyaje ili kurecover maana mengine
yamechimbika kiasi kwamba hata kung'oa haiwezekani, ama unamfaham daktari au hospitali ye yote spesho kwa magonjwa ya meno basi naomba unifahamishe. Natanguliza shukrani wakuu wangu
Nilipatia absorbent c na aloe brightooth gel. Ka unahitaji ushauri call me 0713297066. Sina mda wa kuandika hapa sana.
Dawa ya Meni ni Kung'oa Muone Dr. Akim 0754-262280
Ana huduma nzuri sana yupo Msimbazi Street karibu na kituo cha mabasi yaendayo Muhimbili niling'oa na sikusikia maumivu na alinipa dawa kila baada ya masaa sita nameza kwa siku mbili zote sikusikia hata tone la maumivu... yaani maumivu niliyopata ni yake ya sindano ya ganzi tu....
Meno yote yanangoka hata kiwe kipande... ila nilisikia Meno ya Juu yakitolewa vibaya unaweza poteza hata maisha....
Kuna tunda linaitwa ndulele wengine wanaita ntulantu ukilipata hili yachukue kama kumi hv yaliyoiva(njano) then yachemshe upate supu yake kisha changanya na matone matano ya mafuta ya taa baada ya hapo safisha meno yako vizuru uhakikishe hakuna mabaki ya chakula kwenye matobo then sukutua hyo dawa, fanya asubuh na jioni na uhakikishe meno yako hayashindi na mabaki ya chakula ndani ya cku tatu utaona mabadiliko makubwa sana hata mimi nimesumbuliwa sana na meno ya kutoboka ila baada ya kutumia hyo dawa nimepona kabisa huwez amini
Ok Mkuu Huyo Dr. anahuduma zote za meno unaweza ngoa na kuweka ya bandia mkuu... ila hiyo ya Ndulele ndio leo naisikia kwani na mimi ningekuwa nishaijarubu b4.... yaani tanzania hatuna watu wakaithibitisha kisha kuipaki vizuri kama Colgate...Ahsante mkuu kwa ushaur wako japo n'likuwa nahitaji namna ya kutibu na c kung'oa maana nimeng'oa mpaka yameisha sasa
Ok Mkuu Huyo Dr. anahuduma zote za meno unaweza ngoa na kuweka ya bandia mkuu... ila hiyo ya Ndulele ndio leo naisikia kwani na mimi ningekuwa nishaijarubu b4.... yaani tanzania hatuna watu wakaithibitisha kisha kuipaki vizuri kama Colgate...
Mkuu pia nimekumbuka Dawa ya kusafishia meno ya Sensodyne naypo ni kiboko ila kwa bei ipo juu... ila inamatokeo mazuri sana
Umefukunyua thread ya miaka saba iliyopita dah!... Hata Dr. Wangu Akim alihamia NHC house Samora Avevue..Hiyo yakusafisha meno kama yana rangi yanakua meupe