Mwezi wa 12 mwaka jana, tulipata taarifa ni mkubwa alianguka akitembea barabarani. Aliwahishwa kwenye hospitali ya wilaya. Hukuweza kusimamia miguu wake wa kulia. Tunashukuru alifanyiwa X-ray iliyoonyesha disc dislocation. Wakati huo alishapata kitanda wadini.
Daktari alikuja kutufahamisha kuwa mradi tatizo limejulikana ni kheri magonjwa aende nyumbani. Hali ya pale hospitali si nzuri na anaweza kuondoka na maginjwa mengine.
Kwakweli maji bombani hayatoki, vyoo vimeziba. Hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyoliongelea.