Matatizo ya mifupa ya miguu kuisha nguvu

Matatizo ya mifupa ya miguu kuisha nguvu

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Naomba mnisaide kitu kimoja kwa sasa ni shida ya mifupa ya miguu kuisha nguvu na kuchoka hata kutembea kidogo na hata nikijaribu kuiminya miguu inauma sasa toka kwenye magoti kwenda chini ..Wataalam naomba mnisaide shida ni nini na matibabu yake ni nini hasa..
 
Back
Top Bottom