nilipima ECHO nikaambiwa valve za kuruhusu dam kuingia kwenye moyo ni nene ila zinafanya kaz kawaida napata maumivu sana kenye moyo,kifua kinabana nini chakufanya nisaidieni!!!
Mkuu TIBA na USHAURI mzuri umeuacha huko hospitali/mahali ulikopimwa, kwa nini usimuulize daktari wako?
Au hukuridhika naye, if so then shida uliyoenda nayo ni nini?
-BTW Ulipima wapi?