Msaada mkubwa ni kumuona daktari wa kina mama!Wakuu tatizo langu nimeliweka mahalapake lakini kule naona skupata msaada wowote wako bize matatizo ya sehem nyeti tu mimi mkewangu ni mjamzito wa miezi mine4 anatatizo lakuumwa na nyonga huwa inamshika hatakutembea hawezi hospitali tumeambiwa nikawaida tatizo linazidi sikuhadi siku nawaswasi isje kaleta mazara badae juzi ilisabisha ajali alikuwa anendesha gari mguu ulikosa nguvu hatimaye akaingia mtaroni naomba msaada wenu wenyekujua
NATEGEMEA MSAADAWENU
msaada mkubwa ni kumuona daktari wa kina mama!
(1) Dawa ya maumivu ya Nyonga Mke wako Shemeji yangu mwambie atumie hizi dawa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kumsaidia.
Atwange Gramu 6 za mbegu za harmal achanganye na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia afanye hivyo.
(2)Na ingine hii chemsha na maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa siku 12 atapona inshallah.
(3) Na ingine hii Pata Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za Harmal gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo dawa.
(4)Na hii ingine dawa ya kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya Hina uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah atapona.
(5) au hii ya mwisho upate Mafuta ya lozi (mlozi) uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta ya Hina inshallah atapona.
N.B Muhimu Dawa namba 1 Au dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote.
Ntinginya,
Unahitaji kupiga abdominal-pelvic ultra sound ili kuhakikisha kuwa hakuna "inflamatory" process au fluid collection inayoendelea hapo. Hii pia itakuwezesha kujua kama mtoto yuko kwenye kifuko cha uzazi au la.
Kama uko Dar es Salaam, ulizia kama huduma hiyo unaweza kupata Regency hospital, itakuwa bora zaidi hapo.
Pole na kila la heri kaka.
mhhhh...Acid...tema mate chini!Ntinginya, waweza fanya Ultra sound sawa, ila pia angalia psychology ya mkeo.. Pamoja na maumivu yote, mimba zaweza kusababisha mtu akawa either anadeka sana au anapain threshold ndogo sana
sorry i am taking a stick out of your wife, its because better therapy needs to address all... dramaqueen
Its more complicated than just pain
Wakuu naimani hamjambo nawanaoumwa poleni
wenye ujuzi watujuze wakuu mimi mkewangu nimjamzito na anamiezi mine4 na hii nimimba yapili tatizo alilo nalo ni kuumwa katika nyonga ya mguu wa kulia inamuumampaka anshindwa kutembea na inshika kiasi hawezi kuutmia tumekwenda hspitali tukaambiwa nikawaida lakini inamtesa sana juzi kapata ajali ilimshika akiwa anaendesha gari akashindw kuinua mguu ilialipaki gari akaingia mtaroni naomba msada
lol, angalia usijeharibu mimba ya mke wa mtu!(1) Dawa ya maumivu ya Nyonga Mke wako Shemeji yangu mwambie atumie hizi dawa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kumsaidia.
Atwange Gramu 6 za mbegu za harmal achanganye na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia afanye hivyo.
(2)Na ingine hii chemsha na maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa siku 12 atapona inshallah.
(3) Na ingine hii Pata Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za Harmal gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo dawa.
(4)Na hii ingine dawa ya kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya Hina uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah atapona.
(5) au hii ya mwisho upate Mafuta ya lozi (mlozi) uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta ya Hina inshallah atapona.
N.B Muhimu Dawa namba 1 Au dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote.
sorry, i meant kwamba sometimes wanakua dramaqueens... no offense nimeexperience mkuumhhhh...Acid...tema mate chini!
Una uhakika unayoyasema wewe CBZ ? unanijuwa mimi ni nani? usiingie tu kwenye threat wakati unachokisema hukijuwi jaribu kuwa na heshima.lol, angalia usijeharibu mimba ya mke wa mtu!
Una uhakika unayoyasema wewe CBZ ? unanijuwa mimi ni nani? usiingie tu kwenye threat wakati unachokisema hukijuwi jaribu kuwa na heshima.
na wewe na umo? toeni michango yenu sio kulaumu ovyo pasipo na elimu yoyote ile hatupo hapa kuleta mambo ya ushindani wa Simba na Yanga kwendeni. Toeni na nyinyi dawa kama mnaweza sio kujaza server tu na wewe umejiunga jana leo unaleta maneno yako ya upuzi?alichokisema CBZ ni sawa.acha kumtisha kwani unamjua yeye ni nani? Wacha hizo bana!
na wewe na umo? toeni michango yenu sio kulaumu ovyo pasipo na elimu yoyote ile hatupo hapa kuleta mambo ya ushindani wa Simba na Yanga kwendeni. Toeni na nyinyi dawa kama mnaweza sio kujaza server tu na wewe umejiunga jana leo unaleta maneno yako ya upuzi?
jackbauer
Member Join DateThu Oct 2010LocationCTUPosts47Thanks0Thanked 11 Times in 6 Posts Rep Power0
0 out of 1 members found this post helpful. Thank you for rating this post!
Originally Posted by MziziMkavu
Una uhakika unayoyasema wewe CBZ ? unanijuwa mimi ni nani? usiingie tu kwenye threat wakati unachokisema hukijuwi jaribu kuwa na heshima.
alichokisema CBZ ni sawa.acha kumtisha kwani unamjua yeye ni nani? Wacha hizo bana!
Nyie wanachama wapya mna matatizo sana Mnatia wingi wa bure na kujaza server tu hakuna faida yoyote ile unayotowa wewe jackbauer Towa na wewe Dawa ya nyonga sio kusema sema ovyo pasipo faida.
Mkuu nikweli anadeka lakini kwahiki anaumwa kiukweli mkuu namfaham sana alivyoNtinginya, waweza fanya Ultra sound sawa, ila pia angalia psychology ya mkeo.. Pamoja na maumivu yote, mimba zaweza kusababisha mtu akawa either anadeka sana au anapain threshold ndogo sana
sorry i am taking a stick out of your wife, its because better therapy needs to address all... dramaqueen
Its more complicated than just pain
Tatizo ni la kawaida kwasababu ya kuongezeka pressure inayotokana na kiumbe kinachokua. Lakini inapofikia hatua uliyoeleza ukawaida unaondoka kwasabau hiyo inakuwa extreme. Kuna sababu nyingi zinazoweza kulete hali hiyo, kwahiyo ningekuomba uende ukaonane na daktari bingwa wa maradhi ya akina mama na uzazi [ Obstetrician /Gynaecologist] huyu atakuagiza vipimo vitakavyotoa taswira halisi ya maumivu ya mkeo.
Ningeomba ufanye hivyo haraka kwasababu hili linagusa watu wawili mama na kiumbe tarajiwa, na inabidi ufuatilie ili baadaye tusijekuwa na mushkeli ikawa too little too late, tungefurahi meli ikitia nanga pamoja na mzigo kama unanielewa.
Ahsante