Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Poleni na majukumu ya leo.
Ningependa kujua kuhusu matatizo ya Mitsubishi pajero mini kwa sababu nimeona wengi wakiisema vibaya. Kuna ambao wanadai ulaji wa mafuta, wengine gear box na wengine ukosefu wa speak.
Pia ningependa kujua kama inawezekana kufunga injini ya jimny kwenye pajero mini.
Tatu napenda kufahamu juu ya upatikanaji wa spea kwa sababu gari hii haitengenezwi tena. Je inawezekana kutumia spea za suzuki junior kwenye pajero mini?
Natanguliza shukrani.