Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Poleni na majukumu ya leo.
Ningependa kujua kuhusu matatizo ya Mitsubishi pajero mini kwa sababu nimeona wengi wakiisema vibaya. Kuna ambao wanadai ulaji wa mafuta, wengine gear box na wengine ukosefu wa speak.
Pia ningependa kujua kama inawezekana kufunga injini ya jimny kwenye pajero mini.
Tatu napenda kufahamu juu ya upatikanaji wa spea kwa sababu gari hii haitengenezwi tena. Je inawezekana kutumia spea za suzuki junior kwenye pajero mini?
Natanguliza shukrani.
Sawa mkuu, hakuna shida nyingine? Vp kuhusu spea zake?heshimu service
Sawa mkuu, hakuna shida nyingine? Vp kuhusu spea zake?
Nashukuru sana mkuuZipo tele kwa Miji Mikubwa - Arusha - Dar - Mwanza -
Spare za kila aina zipo, pesa yako tu. Ingia www.amayama.com, register hapo then nunua online spare hadi malangoni kwako.Poleni na majukumu ya leo.
Ningependa kujua kuhusu matatizo ya Mitsubishi pajero mini kwa sababu nimeona wengi wakiisema vibaya. Kuna ambao wanadai ulaji wa mafuta, wengine gear box na wengine ukosefu wa speak.
Pia ningependa kujua kama inawezekana kufunga injini ya jimny kwenye pajero mini.
Tatu napenda kufahamu juu ya upatikanaji wa spea kwa sababu gari hii haitengenezwi tena. Je inawezekana kutumia spea za suzuki junior kwenye pajero mini?
Natanguliza shukrani.
asante mkuuSpare za kila aina zipo, pesa yako tu. Ingia www.amayama.com, register hapo then nunua online spare hadi malangoni kwako.
asante mkuuPia kufahamu aina ya spare ya gari lako cheki hapa www.megazip.com
asante mkuu, spea zinaingiliana au ni tofauti? junior na mini?Gari zuri sana,lipo vizuri barabarani,cha muhimu kama ulivyoshauriwa hapo juu,zingatia service,utaipenda.
Spear zipo nyingi maduka ya spear za mitsubish.
Kuna matoleo mawili yanayofanana,Pajero junior na pajero mini.
Ikoje iO? Ina matatizo au iko poa? Napenda muonekano wakeGari yangu ya kwanza ilikuwa Mitsubishi Pajero iO...aisee
Spear haziingiliani kabisa mkuuasante mkuu, spea zinaingiliana au ni tofauti? junior na mini?
asante mkuuSpear haziingiliani kabisa mkuu