MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
Jaji Joseph Sinde Warioba ndio wakulaumiwa katika matatizo yanayojitokeza katika Rasimu ya Katiba. Uhalisia wa tatizo nikua, Jaji joseph Sinde Warioba, ameamua kufuata nyayo za Mwalimu Nyerere, za Kuweka Maslahi ya Kanisa Mbele kuliko Maslahi ya Nchi.
Sasa kutokana na Kutokua na nia nzuri na Nchi yetu, Asitarajie kupata Heshima yoyote katika jukumu hili alilopewa na Mheshimiwa Rais, kwa Maslahi ya Taifa.
Sasa kutokana na Kutokua na nia nzuri na Nchi yetu, Asitarajie kupata Heshima yoyote katika jukumu hili alilopewa na Mheshimiwa Rais, kwa Maslahi ya Taifa.