Matatizo ya sekta ya elimu

Matatizo ya sekta ya elimu

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Mpango mpya wa elimu, uliotangazwa hivi karibuni, kiukweli hawajafikiria vizuri tatizo hasa la elimu, tatizo la elimu sio kuongeza miaka ya kuhitimu shule ya msingi, kutoka miaka saba mpaka kumi, tatizo ni vitendea kazi, mazingira ya kujifunzia, mishahara ya walimu, haya ndio mambo ambayo, serikali ilitakiwa kuja na majibu,na sio kuongeza muda au lugha,tatizo sio lugha!mbona kiswahili ni moja ya masomo ambayo wanafunzi wanafanya vibaya? Form four, mara nyingi tu, hivi hawa viongozi wanafikiria kweli kabla ya kupanga mambo?
 
Back
Top Bottom