Uchumi wa tanzania tunashindwa kuukuza kwa kiwango kinachotakiwa kwa sababu tunaukuza kwa mchana tu. Wakati wenzetu wanaukuza mchana na usiku eg mabasi yanatembea usiku kucha, mabenk yako wazi 24hrs, masupermarket pia sisi tunakiroma na kuaota ndoto na kuongeza familia