Hilo la kutapika na kupoteza appetite yaweza kuwa ni matokeo ya hormones, kama ujauzito wake ndivyo ulivyo basi ataendelea hivyo mpaka mwili wake utakapoamua kubadilika.
Ila hilo la kuumwa tumbo ningeshauri akamwone daktari wa wakina mama. Kuumwa tumbo wakati wa ujauzito kunaweza kukawa kunaashiria hatari kwa afya ya mama na mtoto.