Matatizo ya Unyumba

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Hii nimeikuta kule kwa MICHUZI, nikaona niilete hapa ukumbini!

 
pole kwa mwenye tatizo hilo, nadhani wengi watahisi hii ni menopause lakini inawezeka siyo kwani menopause ina involve vitu vingi zaidi na hasa mabadiliko katika mzunguko wa mwezi kwa hiyo ni vema mwenye tatizo hili ajiangalie mambo mengi kidogo.

mfano hapo chini ni dalili chache za menopause hii inaweza kuwa eraly menopause au menopause ya aina yeyote!!

hot flushes and night sweats
aches and pains
crawling or itching sensations under the skin
headaches
vaginal dryness
reduced sex drive (libido)
urinary frequency
tiredness
irritability
depression
sleeping difficulty
lack of self esteem
forgetfulness

lakini kunauwezekan mkubwa hali hiyo kuwa ni saikolojia tu pana vitu vimechangia ikatokea, na kubwa kwa ndoa changa ambazo hazina migogoro na wote mnajiamini kuwa hakuna aliyepata kitu tofauti akaona kuwa mwenzie hafai, maana onja onja pia husababisha kukosa hamu kabisa na wala kujihis kutomuhitaji mwenzio hii yaweza tokea pande zote lakini kama si hivyo inawezekana pana sababu ambazo zimekuathiri kisaiklojia kama vile:

UZAZI
hali hii hutokea kwa familai nyingi wanapopata watoto kwa maana mama anakuwa na mapenzi makubwa kwa watoto na anakuwa karibu nao sana kushinda alivyo na ukaribu na mume, hali hii ni hatari na pengine ni chanzo cha wanaume wengi kutafuta nyumba ndogo, ukizingatia desturi zetu ambapo kitanda kimoja inabidi mlale familia nzima (baba, mama na watoto pengine 2) katika hali hiyo mama mara nyingi anakuwa na jukumu kubwa la kuangalia watoto hivyo anakuwa hana concentration ya tendo lile,

na unaweza kuta hata weekend au jioni mnaporejea muda mwingi mnachukua kucheza na watoto nk hivyo mnakosa muda wakuwa 2 na kujiandaa na tendo hilo,

hali kadhalika maandalizi duni kutokana na msongo wa mambo kichwani mara zote mnakuwa busy na shughuli za kazi, maendeleo na majukumu ya familia, hakuna maandalizi, ukipigiwa simu au sms basi kuna jambo unaulizwa na si kupata japo sweet words ambazo itakufanya uvute hisia ya mapenzi

.....
 
Kwanza cha muhimu kujua ni hao watoto watatu aliwazaa vipi, manake kama njia imejaa viwembe sometimes it becomes terrible na hamu hupotea kabisa. Pili, with time staili pia inabidi ziende na wakati, sio kung'ang'ania mbinu zile zile mlizokutana nazo wakati mnaanza, kwa vile hii hufanya mchezo kuwa unaboa. Sometimes wanaume wanashindwa kuleta staili mpya nyumbani manake wife atauliza umezitoa wapi, ukisema kwenye movie atakwambia kalete niione, na kumwambia nimeipata uswazi haiwezekani. Tatu, hiyo ni kawaida kautafiti kameonyesha wanawake wengi wakifikisha miaka kumi ndani ya ndoa hujisikia kuchoka kiaina, lakini baada ya muda mambo hurudia kwenye form....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…