Naomben Ushaur Wadau, Nimeolewa Nimebarikiwa Kupata Mtoto Mmoja Mwaka 2003, Tatizo Langu Ni Kwamba Tangu Mwaka Juz Najaribu Kutafuta Ujauzito Bila Mafanikio, Nimesafishwa Mirija Ya Kizaz Mara Mbil Ktk Hospital Tofaut Nimetumia Clomiphene Mara Kadhaa.Nisaidieni Nipate Tiba Mbadala Mana Nataman Kupata Mtoto Wa Pili