MLABATA Member Joined Mar 30, 2015 Posts 49 Reaction score 23 Apr 5, 2017 #1 Naomba msaada wa visababishi, tiba na namna ya kuzuia. Nimeugua miaka minne sasa natumia dawa siponi. Kila nikienda hospitali napigwa exray na napewa dawa siponi, sa zingine natoa jasho jingi ila mwili unahisi baridi.
Naomba msaada wa visababishi, tiba na namna ya kuzuia. Nimeugua miaka minne sasa natumia dawa siponi. Kila nikienda hospitali napigwa exray na napewa dawa siponi, sa zingine natoa jasho jingi ila mwili unahisi baridi.
MLABATA Member Joined Mar 30, 2015 Posts 49 Reaction score 23 Apr 5, 2017 Thread starter #2 Naombeni msaada.
masikio Senior Member Joined Apr 19, 2007 Posts 125 Reaction score 118 Apr 5, 2017 #3 Umepima makohozi ya TB? Hiyo huwa ni dalili ya huo ugonjwa. Ni vizuri ukapima makohozi kuangalia wadudu wa TB
Umepima makohozi ya TB? Hiyo huwa ni dalili ya huo ugonjwa. Ni vizuri ukapima makohozi kuangalia wadudu wa TB
MLABATA Member Joined Mar 30, 2015 Posts 49 Reaction score 23 Apr 5, 2017 Thread starter #4 masikio said: Umepima makohozi ya TB? Hiyo huwa ni dalili ya huo ugonjwa. Ni vizuri ukapima makohozi kuangalia wadudu wa TB Click to expand... TB kapima hana
masikio said: Umepima makohozi ya TB? Hiyo huwa ni dalili ya huo ugonjwa. Ni vizuri ukapima makohozi kuangalia wadudu wa TB Click to expand... TB kapima hana
burahanthu Senior Member Joined Apr 21, 2012 Posts 143 Reaction score 38 Apr 5, 2017 #5 Kapime ESR, HIV pia hiyo yaweza kuwa dalili ya lymphona.
MLABATA Member Joined Mar 30, 2015 Posts 49 Reaction score 23 Apr 5, 2017 Thread starter #6 burahanthu said: Kapime ESR, HIV pia hiyo yaweza kuwa dalili ya lymphona. Click to expand... Poa Asante
burahanthu said: Kapime ESR, HIV pia hiyo yaweza kuwa dalili ya lymphona. Click to expand... Poa Asante