Matatizo yanayo husiana na maradhi ya figo na ufumbuzi wake

SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.

Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo...

Kipengele namba 3, umesema protini ikizidi katika mlo huzalisha sumu dutu inayodhuru figo.

Mbona maharage yana protini nyingi sana lakini hujashauri watu kuacha kuyatumia?
 
Najaribu kuachana na matumizi yaliyozidi ya sukari na chumvi .

Siku ya Tano leo sijatumia sukari Kama sukari ,zaidi ya inayopatikana kwenye chakula(glucose)

Chumvi nimepunguza kabisa matumizi yake yaani natumia kidogo saaana

Ila nitaacha nayo

Nakunywa maji mengi almost 4 litres siku tano Sasa

Tujilinde kiafya

NB:Nina miezi 9 sijanywa pombe yeyote
 
vizuri ila kwenye kunywa maji baridi hapo umefeli sana.
 
Najaribu kuachana na matumizi yaliyozidi ya sukari na chumvi .

Siku ya Tano leo sijatumia sukari Kama sukari ,zaidi ya inayopatikana kwenye chakula(glucose)...
Unaweza kuongeza na kupunguza matumizi ya starch, lakini pamoja na yote haya mwisho wa siku utarest in peace
 
Unaweza kuongeza na kupunguza matumizi ya starch, lakini pamoja na yote haya mwisho wa siku utarest in peace
Hata wewe it's rest in peace

Una mawazo mfu

Shwain

Njoo na wazo la kupunguza uezekano wa kuwa na Magonjwa kadhaa wa kadhaa

Sio mawazo ya kufa kufa .

Badili mindset yako[emoji44]eboo!!
 
Mkuu soda ndio hatari hasa zero sugar zote ni hatari. Vitu Salama ni bangi na Maji baas Zina boost body immune system nakukufanya uishi maisha marefu yenye furaha
"Vitu salama ni bangi na maji"[emoji3526]
 
MziziMkavu,
Mkuu tunakushukuru kwa uzi huu, ni imani yangu kuwa utawasaidia wengi sana naomba kuuliza maandiko mengine yanasema kuwa unywaji wa maji unategemea na mazingira unayoishi na kazi unayofanya mfano anaeishi Dar es salaam ni tofauti na anaishi Iringa anaefanya kazi ofcn ni tofauti na anaebeba mizigo.
 
Pamoja na yote hayo uliyoyasema ujitahidi kunywa maji ya kutosha ili kulifanya Figo lako lipate kufanya kazi vizuri.
 
Pongezi nyingi kwako mkuu katika uzi huu ulotuandikia katika kutuepusha na janga hili la figo, namie nina yangu ya kuongezea kutokana na vile naona inafaa na itatusaidia

Miongoni ma vitu vya kulinda katika mwili kwa nguvu zote ni hivi viungo vya ndani yani moyo, mapafu, ini, figo maana hivyo ni ka muhimili katika mwili wetu kwa ndani na kufa kwa kimoja kunapelekea kufa kwa kingine.
 
UKIMWI najua Yesu anaponya, hata figo ila kwa watu wenye imani na walio okoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…