Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 32
Source VOA:
Nchini Kenya magari ya abiria jijini Nairobi maarufu kama matatu yamefungiwa mitandao ya internet ili kuwasaidia abiria kutumia mitandao wanapo kuwa kwenye foleni za barabarani hii imewavutia watu wengi nchini humo na huduma hiyo nini fundisho kwa jiji letu la Dar hasa kwa Daladala zinazofanya safari zake ambapo abiria hupitia madirishani ili kuweza kujisitili wenzetu wametoka huko mpaka kufikia hatua ya kuweka mitandao kwenye daladala sie tunahangaika na watu wanaopitia madirishani aibu hii jamani.