Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 32
Kwani Kenya mitandao Ya Simu haitoi uduma za internet? Mbona mm apa bongo nikiwa kwenye daladala natumia internet kupitia simu Ya mkononi, ata sasa nipo JF
Kwani Kenya mitandao Ya Simu haitoi uduma za internet? Mbona mm apa bongo nikiwa kwenye daladala natumia internet kupitia simu Ya mkononi, ata sasa nipo JF
wamefunga wifi kwnye matatu ( yameandikwa kwenye kioo cha nyuma full wifi) so ukiingia na tablet, simu chochote chenye connection ya wifi basi unabrouse free. na yale ya mikoani yamefungwa mobile t.v wame subscribe na DSTV na na hayo yameandikwa full DSTV YAANI NI USHINDANI TU KWENYE BIASHARA
Source VOA:
Nchini Kenya magari ya abiria jijini Nairobi maarufu kama matatu yamefungiwa mitandao ya internet ili kuwasaidia abiria kutumia mitandao wanapo kuwa kwenye foleni za barabarani hii imewavutia watu wengi nchini humo na huduma hiyo nini fundisho kwa jiji letu la Dar hasa kwa Daladala zinazofanya safari zake ambapo abiria hupitia madirishani ili kuweza kujisitili wenzetu wametoka huko mpaka kufikia hatua ya kuweka mitandao kwenye daladala sie tunahangaika na watu wanaopitia madirishani aibu hii jamani.