Matawi ya Benki za NMB Mafinga na CRDB Kibondo, yanaendelea kutoa huduma?

Matawi ya Benki za NMB Mafinga na CRDB Kibondo, yanaendelea kutoa huduma?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe.

Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga).

Kazi tunayo.

Naomba niishie hapa.
 
Achana na mambo ya issue zinafanana. Ni kwamba BM wa Crdb kibondo alifariki kwa Corona, kwa maana hiyo na huko Nmb ni vivyo hivyo. Sasa swali ni kwamba, Je wafanyakazi wengine wapo karantini au biashara inaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe.

Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga).

Kazi tunayo.

Naomba niishie hapa.
Ndiyo, mameneja wa benki zote mbili wamefariki hivyo wanapiga dawa na wafanyakazi wameambiwa wakale mvuke.
 
Ndiyo, mameneja wa benki zote mbili wamefariki hivyo wanapiga dawa na wafanyakazi wameambiwa wakale mvuke.
Kuna mahali nimesoma na Mwanza kuna pia tawi limefungwa.
 
Hii kitaalamu inaitwa "Automatic Discrete Lockdown Events". Waswahili wa pwani wanaita "Kusitisha Biashara Moja Moja Bila Hiyari".
 
Hii kitaalamu inaitwa "Automatic Discrete Lockdown Events". Waswahili wa pwani wanaita "Kusitisha Biashara Moja Moja Bila Hiyari".

Sawa umesema kuna ,,kitaalamu“ na sisi ,,Waswahili wa Pwani“ tinavyoita, Je,sasa ni ninyi Wachaga mnaitaje?
 
Kuna mtu ameniambia hayo matawi yamefungwa kwa sababu wafanyakazi wake ni washukiwa wa karibu na mabosi waliofariki kwa Corona. Hivyo baada ya wiki 2-3 kupita huduma zitarejea.
 
Ofisi za TRA Arusha ni sawa na kusema zimefungwa. Ukifika hapo hurusiwi kuingia ndani, unapewa form fulani yenye details zako halafu unaambiwa utapigiwa. Na hayo yote yanafanyika mapokezi, zaidi ya hapo hurusiwi kuvuka.
 
Back
Top Bottom