Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndiyo, mameneja wa benki zote mbili wamefariki hivyo wanapiga dawa na wafanyakazi wameambiwa wakale mvuke.Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe.
Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga).
Kazi tunayo.
Naomba niishie hapa.
Kuna mahali nimesoma na Mwanza kuna pia tawi limefungwa.Ndiyo, mameneja wa benki zote mbili wamefariki hivyo wanapiga dawa na wafanyakazi wameambiwa wakale mvuke.
Hii kitaalamu inaitwa "Automatic Discrete Lockdown Events". Waswahili wa pwani wanaita "Kusitisha Biashara Moja Moja Bila Hiyari".