mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!
Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.
Pilipili usioila inakuwashia nini?Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!
Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.
Wacha uzushi wewe...sikia kwa tarifa za kuaminika tulizonazo hapa jiji Dar inasemekana wengi wao wanatabuliwa kama waburundi ,wasomali ,wasudani ,wazimbabwe Nk ,sasa hayo matawi ya CCM ni chaka lao, kwanini wanafanya hivyo wao ndio wanaelwa ukweli ,na kwa kufikiria kiharaka labda wanajaribu kujiwekea kinga pale patakapo tokea matatizo upande wao chama kiwasaidia wasije kukumbana na sheria hapa bongo kwa kusema hawa walikuwa wanachama wetu wakikitangaza chama kule kwa wafadhili wetu.
Pilipili usioila inakuwashia nini?
Vipi kuhusu furaha ya Nyani inapoishia jangwani?kifo cha nyani miti yote huteleza
Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!
Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.
Mafisadi unawajua weye?Ni kujikomba tu kwa mafisadi hakuna jipya.