Matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi, nini sifa za uanachama?

Mkuu Leokweli,

Quantify your statement.

Ukweli ni Kwamba wana CCM wengi wa london ni Wakimbizi wa kirundi na wengine wana hata British PASSPORT SASA SWALI LINAKUJA JE MWENYE BRITISH PASSPORT BADO ANA QULIFY KUWA KIONGOZI WA TANZANIA?
 
Ukweli ni Kwamba wana CCM wengi wa london ni Wakimbizi wa kirundi na wengine wana hata British PASSPORT SASA SWALI LINAKUJA JE MWENYE BRITISH PASSPORT BADO ANA QULIFY KUWA KIONGOZI WA TANZANIA?

Sawa nimekupata, je ni akina nani hao? (majina tafadhali)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…