B Baba wawili Member Joined Aug 24, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Nov 14, 2011 #1 najiuliza sana na sasa niwaulize wadau wa soka, hivi stars imeimprove ama Chad ni vibonde? Poulsen atatatetea kibarua kesho maana nahisi kama ugenini ilikuwa kakobe!
najiuliza sana na sasa niwaulize wadau wa soka, hivi stars imeimprove ama Chad ni vibonde? Poulsen atatatetea kibarua kesho maana nahisi kama ugenini ilikuwa kakobe!