kotinkarwak
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 376
- 115
Nimefuatilia topics nyingi hapa zinazotafuta maelezo zaidi kuhusu miradi ya kuwekeza nchini na pia kuwa ndio capital ipo miongoni mwa watu wengi ila tu labda business ideas bado hazijawa 'developed ya kutosha.
Matukio mengine kama DECI yamesababisha watu kupoteza pesa zao walizowekeza kwenye hizi organs of investment
Nafahamu pia kuna systems zingine za uwekezaji ambazo zimejitokeza in forms of SACCOS na huku pia watu wamehifadhi pesa zao nyingi tu. Nasema kuhifadhi nikimaanisha kuwa investments ya hizi pesa bado sina maelezo zaidi ni jinsi gani zina 'perform
Ningependa wanJF wanaofahamu haya mambo zaidi watuelimishe. Cha msingi tunasikia tamko kuwa maendeleo yatatokana kwetu sisi wenyewe hence kuyapata hayo maendeleo inabidi tujue capacity ambayo tunaweza kuwa nayo in terms of financial capacity ndio hapo tutafahamu je, miradi ipi tunaweza kuigharamia wenyewe. Nasema kugharamia nikimaanisha the capital investments, labda ndio expetise itabidi itoke kwingineko lakini the capital base labda tunayo.
Maswali niliyonayo kuhusu hii ni kama ifuatavyo.
1). Kwa ujumla, SACCOS capital base ni kiasi gani.
2). Ni investments vehicles zipi zina returns nzuri kwa mwekezaji
3). DSE (Dar Stock Exchange) performance yake
4). Sheria ya capital investment in Tanzania.
5). Sheria ya Banking in Tanzania, je savings zina protection ipi? Mfano, Benki iki 'collapse, mteja amelindwa? na kama ni ndio, kwa kiasi gani na processes ni zipi zinatumika.
6). Kuna elimu ya investments, ya ujasiriamali inapatikana?
7). Financial Advisory sector ipo na inapatikana wapi? especially a private one ili ku'balance maelekezo mtu anayopata from the financial banking institutions.
Nawakilisha discussion nikitanguliza kusema kuwa hii sio fani yangu, hence labda maswali zaidi yataendelezwa na wachangiaji wengine.