mr.sylvestre
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 252
- 298
Kwani kujaa mate mdomoni ni ugonjwa? unataka mdom wako uwe mkavu kisha uje hapa utuambie jamani kwanini mdomo wangu mkavu? nenda hospitali kaangaliwe na Ma-Daktari.Habari wakuu.NImekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujaa mate mdomoni,hali hii inanitisha make inafikia hatua nikiwa nazungumza inanibidi nitulie kwa muda ili nimeze hayo mate kwanza.Si mzungumzaji sana na sina tatizo lolote la kiafya
Mkuu kwanza huyu mr.sylvestre angalikwenda hospitali kuangalia vizuri hapa tunatowa ushauri tu Huwezi kutowa tiba pasiop na kumuona mgonjwa asante kwa kuni Tag.