Ungeweka chanzo cha huu utafiti...ili tujifunze zaidi ikibidi.Labda nikwambie tu kama ulikuwa hujui;
Mate ya binadamu Yamebeba ndani yake kemikali inayoondoa maumivu(painkillers) inayoitwa Opiorphin,
ambayo inanguvu mara 6 zaidi kuliko Morphine au Panado.
"Kwahiyo ndugu zangu maumivu yakizidi sio hadi umwone daktari au dawa 3 bali mfate bebi wako mkaushe mate yotee 😳
Hivyo kunyonya ndimi inaweza kuwa Moja ya tiba ya maumivu
Asante sana ngoja nami nilifanyie research.Ni dawa zaidi ya panadol