SoC04 Mategemeo ya Watanzania

SoC04 Mategemeo ya Watanzania

Tanzania Tuitakayo competition threads

Di23

New Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
3
Reaction score
0
MATEGEMEO YA WATANZANIA

Tanzania ni nchi yenye kila aina ya kila kitu tunacho kihitaji, ila hatuna viongozi wanaoweza kutuongoza na kutufanya tunufaike na kila kitu tuicho nacho.

Mfano; familia anaeiongoza ni baba, baba kama hatakua na misimamo ambayo itawasaidia watoto kuifikia malengo Yao ataishia kuwalaumu watoto kumbe yeye ndo anamakosa toka hapo mwanzo hajawatengenezea mazingila mazuli.

Tunamalengo makubwa tunatamani kuyatimiza ila hatuna mpangilio nzuli wa kuanza na kumaliza jambo tulilo lianza.

Kiongozi ndo anaejua Tanzania inaingiza shingapi inatoa shingapi na ili mladi ukamilike unatakiwa shingap ili kila mtu afanye jukumu lake lazina iwepo shelia ya kumkumbusha fanya au usifanye kiongozi anatakiwa kufanya mategemeo ya watanzania na je Kuna shelia inayo mkumbusha kiongozi nini kilicho mfanya awe kiongozi. ili tuwe na maendeleo tunatakiwa tuwe na shelia yenye Wigo mpana itakayo Linda lasilimali zetu nakuwakumbusha viongozi wetu nini wafanye na nini wasifanye.

Kiongozi anatakiwa awe na udhubutu wa kufanya jambo kubwa kwamanufaa ya vizazi vya badae na kisiwe kisingizio cha kuombea uongozi kwasababu hajakamilisha lengo lililo mfanya kua kiongozi.

Kiongozi ananafas kubwa sana kutufikisha pale tunapo takakufika.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom