Mateja stend

Mateja stend

mlavet

Member
Joined
Oct 23, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Je ni kweli kwamba serekali imewashindwa hawa watu je sio miongoni mwa raia wa tz kwa nini waishi watakavyo wanatuibia stand kuchana mabegi wanatumia silaha ya nyembe kudhuru wengine kwa nini wasipelekwe Mahali wakapata ujuzi na kuajiriwa je serekali ingekosa mapato na rasimali watu hii isingepotea tuuu na kuleta madhara
 
Back
Top Bottom