Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
07. 05. 2024
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa Changamoto, Kwenye Kata Ya Kivule.
Katika Matembezi Haya, Niliweza Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kutekelezwa Na Kupangwa Kwenye Kata Ya Kivule, Ikiwa Ni Pamoja Na Upembuzi (Upimaji) wa Barabara ya DMDP (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project) Unaoanzia Kata Ya Kitunda Kuja Kivule, Ikiwa Ni Hatua za Awali za Ujenzi wa Barabara Ya DMDP Chini Ya TARURA (Tanzania Rural and Urban Roads Agency)... Lakini Pia, Kutambua Mpango wa Maboresho Kwenye Soko La Kivule, Kupitia Ofisi Ya Mkurugenzi, Na Maboresho Mengineyo Kufanyiwa Kazi.
Serikali Sikivu…
#KaziIendelee 🇹🇿