Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa nyakati mbalimbali.