Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa nyakati mbalimbali ndani ya wiki mbili.
Vibali vitatolewa?Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa nyakati mbalimbali.
NdioVibali vitatolewa?
Kwani tumekuambia watanzania wote tunahitaji katiba mpya sisi wana Ccm tunaitaka ile ile CCM DAIMA SAMIA MITANOMatembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa nyakati mbalimbali.
Wataambiwa waombe kibaliMatembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa nyakati mbalimbali.
Acheni hao wanaoitaka waipiganie. Sio kila mtu ni CCM.Kwani tumekuambia watanzania wote tunahitaji katiba mpya sisi wana Ccm tunaitaka ile ile CCM DAIMA SAMIA MITANO
Manake watu wanaogopa kupigwa, na kutekwa au hata kuuawa au kubambikiwa kesiNdio