Matendo Makali vs Maneno Makali, anayeweza kunifafanulia tafadhali

Matendo Makali vs Maneno Makali, anayeweza kunifafanulia tafadhali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi nilimuona hayati Magufuli kama mtu mwenye matendo makali na Tundu Lisu kama mwenye maneno makali.

Naomba maoni yenu katika hili Matendo makali vs Maneno makali

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Bwasheee, usiwe kama umelewa ugimbi wa pale ipogolo..

Matendo makali maana yake ni kama haya ya kututwika makodi lukiki.

Kamwene muyangu.
 
Back
Top Bottom