J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 13, 2021 #1 Binafsi nilimuona hayati Magufuli kama mtu mwenye matendo makali na Tundu Lisu kama mwenye maneno makali. Naomba maoni yenu katika hili Matendo makali vs Maneno makali Mungu ni mwema wakati wote!
Binafsi nilimuona hayati Magufuli kama mtu mwenye matendo makali na Tundu Lisu kama mwenye maneno makali. Naomba maoni yenu katika hili Matendo makali vs Maneno makali Mungu ni mwema wakati wote!
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Sep 13, 2021 #2 Bwasheee, usiwe kama umelewa ugimbi wa pale ipogolo.. Matendo makali maana yake ni kama haya ya kututwika makodi lukiki. Kamwene muyangu.
Bwasheee, usiwe kama umelewa ugimbi wa pale ipogolo.. Matendo makali maana yake ni kama haya ya kututwika makodi lukiki. Kamwene muyangu.