a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani.
Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema.
Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo.
Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa.
Ni heri kutoa kuliko kupokea..
Mikono inayotoa kusaidia wahitaji inabarikiwa zaidi ya ile inayopokea tu.
DINI ILIYOSAFI NA ISIYO NA TAKA MBELE ZA MUNGU ni hii kwenda kuwaona yatima,maskini wanyonge wahitaji.
Mwenye nguo mbili amgawie moja yule asiyekuwa na nguo ,mwenye chakula naye afanye vivyo hivyo.
Amri kuu kuliko zote amri mpya PENDANENI
Msifanye neno lolote kwa mashindano bali kila mmoja na amuhesabu mwenzie kuwa ni bora kuliko yeye.
Asiyempenda nduguye anayemuona ,hawezi kumpenda Mungu asiyemuona..
Upendo hautafuti mambo yake wenyewe(ubinafsi),hauhesabu mabaya hauhukumu wengine bali hupatanisha na kusamehe,huruma,unyenyekevu
Upendo ni kusaidia wengine ili hali na wewe ukiwa bado unapambana na changamoto zako ukijatafuta.
KARIBU KUTAZAMA USHUHUDA HUU HAPA CHINI
Jinsi gani wema alioufanya kijana ulivyokuja kumrudiai(WEMA HAUOZI)..naamini utajifunza kitu utazidisha kutenda mema....tazama USHUHUDA HUU CHINI HAPA
View: https://youtu.be/C7jaoeVvsBM?si=5Np18VzXl42MJfqJ