mbacho massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 299
- 245
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?