mbacho massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 299
- 245
Mdf inamwonekano mzuri but inachoka harakaHabari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
Bei NgapiMninga tu
Hamna Mkuu
The proportion of idiot per sqm in Tanzania is astonishingAlluminium..
The proportion of idiot per sqm in Tanzania is astonishing.Alluminium..
Asante sana mkuuMdf inamwonekano mzuri but inachoka haraka
Asante mkuu
Asante sana mkuu
Mpaka uupate sasaMninga tu
Asante mkuu
Niliwahi kuona makabati ya Aluminium Morogoro yalikuwa mazuri sana...Alluminium..
Ngoja tuishi kwenye mbaoHamna Mkuu
MwAnzo Inakuwa Nzuri Baadaye Hoi
Mpaka uupate sasa