Material nzuri ya bati

Material nzuri ya bati

Mr sule

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
606
Reaction score
1,110
Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya.
Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri.
DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D, DX57D nataka nitumie kwenye nyumba, na unaweza kunishauri.
, nimegoogle sijapata jibu sahihi.

Asante.
 
Back
Top Bottom